HARMONIZE AACHIA NGOMA MBILI KWA MPIGO

Mwanamuziki na Mmiliki wa lebo ya #KondeGang Harmonize ameachia ngoma mpya leo majira ya saa 10:00AM asubuhi.

Wimbo huo ulioachiwa leo ni Remix ya wimbo wa #kilofeshe wa mkali Zino Leesky, na wimbo huo unakua remix ya pili kwa mwanamuziki #Harmonize katika kipindi cha hivi karibuni baada ya mang'dakiwe remix, huku pia akiwa ameachia ngoma nyingine inayoitwa Teacher zote katika mtindo wa amapiano.

Tembelea YouTube channel yetu ya Binago TV kwa taarifa nyingi zaidi.

No comments