BASHUNGWA AWATAKA WATU WAJISAJIRI KUCHANJA
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa @innocentbash tayari amepata chanjo ya Corona (COVID-19), amesema anajisikia yuko fiti na zaidi anajiamini akijua kuwa sasa mwili wake uko kwenye hali nzuri ya kupambana na ugonjwa huo.
"----->Namshauri kila mmoja kujisajili kupata chanjo hii hasa tukianza na watu wenye umri mkubwa na wale wenye magonjwa sugu na kwa wengine wote kadri chanjo itakavyozidi kupatikana"---- BASHUNGWA
Aidha, amesema kuchanja ni kujihami, Chanjo ni moja ya silaha za mapambano, siyo vibaya kuwa nayo wakati wa vita dhidi ya Uviko 19.
Post a Comment