ADOLF MKENDA ATANGAZA BEI NAFUU MBOREA YA NPS&NPS ZINK
Waziri wa Kilimo Prof Adolf Mkenda ametangaza unafuu wa bei kwa mbolea aina ya NPS na NPS Zink ambazo ni mbadala wa mbolea aina ya DAP.
"----->Zimefanyiwa utafiti wa kitaalamu na kuonyesha matokeo mazuri zaidi ya mbolea ya DAP kwa sababu zenyewe zimeongezwa virutubisho vya ziada ambavyo ni Salfa na Zink"---- MKENDA
Aidha, Prof Adolf Mkenda amesema kuwa serikali inaendelea kufanya mazungumzo na makampuni mengine ya mbolea ili kuona uwezekano wa kupunguza bei za mbolea ambazo zimekuwa kikwazo kwa wakulima, ili yaweze kupunguza bei kama ilivyofanya kampuni ya OCP.
Post a Comment