WAJUE MANABII 25 KWENYE BIBLIA NA QURAN
WAJUE MANABII 25 walio tajwa katika Quran. Na wenzetu wawasome kwenye biblia yao
BISMILLAH👇👇
ADAM (SURA 3-33 ) Adamu... MWANZO 5-2
IDRISS au IDRISA ( Quran 19-54) Idriss ni HENOKO ( YUDA 1-14 )
NUUH (Quran 26-10) nuhu ( Mwanzo 7-13)
HUD ( Qurn 26-125) Eberi Mwanzo 10-24
SALEHE au Salih ( Quran 26-143) Shilo ( WAMUZI 21-21)
IBRAHIM ( Quran 9-70) Abrahamu ( MWANZO 21-21 )
LUUT ( Quran 26-163) LUT ( MWANZO 13-8 )
ISMAIL au ISMAEL ( Quran 19-54 ) Ishmaeli ( MWANZO 16-11)
ISHAQ au ISIHAKA (Quran 19-49 ) ISAKA ( MWANZO17-19)
YA'Qub au Yakubu (Quran 19-49) Israeli baadae Yakobo ( MWANZO 28-16)
YOUSUF (Quran 6-89) Yusufu (MWANZO 50- 22 )
AYYUB ( Quran 6-89) Ayubu ( AYUBU 1-1)
SHU' AIB ( Quran 74-178) Yethro ( KUTOKA 4-18)
MUSA ( Quran 19-51) Musa ( KUTOKA 6-27)
HARUUN (Quran 19-53) Haruni ( WALAWI 9-22)
DHUL-QIFL ( Quran 38-48 ) EZEKIELI ( 1NYAKATI 24-16)
DAWOUD ( Quran 6-89) Daudi ( YEREMIA 33-22)
SULEYMANI (Quran 6-89) Solomoni ( NEHEMIA 11-3)
ILYAS au Ilyasa ( Quran 37-173) Eliya ( EZRA 10 -21)
AL- YASA ( Quran 37-172-173) Elisha ( MWANZO 10-4)
YUNUS (Qur'an 10-2) Yona ( Yona 1-2)
ZAKARIYYAH ( Quran 19-2) zakaria ( ZAKARIA 1-5)
YAHYA au YAHAYA ( Quran 19-12) Yohana ( MATHEW 3-4)
ISSA (Quran 4-171) YESU
MUHAMMAD ( Quran 13-1) mkweli Muaminifu. (YOHANA 16-7-- Kubashiriwa katika Injili ya Masihi) BARNABA 67-3
Wabillah Tauwfiq, Allah Atujalie Tukutane Na Manabii wetu 🌹✔️
Ubarikiwe,Yesu Ni Mwema
Post a Comment