TANESCO TOENI TAARIFA KWA WANANCHI-JOKATE

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Jijini Dar es salaam Mhe. Jokate  Mwegelo amesema, pamoja na hayo alifanya mazungumzo na uongozi wa TANESCO Temeke na kuwasihi kuwa na mawasiliano ya kimkakati na wateja wao kupunguza malalamiko kufuatia changamoto zozote za umeme zinapojitokeza baada ya kupokea malalamiko ya kukatika kwa umeme mara kwa mara katika maeneo ya Keko, Chang'ombe, Mbande-Mbagala na kuathiri shughuli za uzalishaji kiuchumi na kijamii.

"----->Ni matumaini yangu tutaboresha jinsi tunavyowahudumia wananchi wote wa Temeke."---- JOKATE MWEGELO

No comments