TAASISI YA ROBINHOOD YAPIGWA FAINI
Taasisi hiyo ya biashara imeshutumiwa kwa "kutofanya vizuri katika usimamizi wa kimfumo" na kuumiza wawekezaji wengi kwa kuwapa "habari za uwongo au za kupotosha."
Uchunguzi uligundua kuwa maelfu ya wateja walipata hasara zaidi ya dola milioni 7 za Kimarekani kwa jumla "kwa sababu ya taarifa mbaya za Robinhood."
Post a Comment