MAHAKAMA YAAMURU GAVIN ATUMIE CHOO CHA JINSIA YAKE

Mahakama Kuu nchini Marekani mnamo Jumatatu, imeacha uamuzi ambao umeruhusu mwanafunzi huyo kutumia chumba cha kuogea  ambacho kinalingana na jinsia yake.

Kesi hiyo ilianza wakati Gavin Grimm aliezaliwa na jinsia ya kike, ambae kimuonekano ana sura ya kiume, alipinga uamuzi wa bodi ya shule ya eneo hilo kumtaka atumie choo kinacholingana na jinsia aliyopewa wakati wa kuzaliwa.

No comments