MTOTO WA MASOUD KIPANYA, MALCOM ALLY AFARIKI DUNIA
Mtoto wa Mtangazaji na mchora Katuni Masoud Kipanya aitwae Malcom Ally amefariki dunia leo Jijini Dar es salaam.
Mtoto Malcom Ally ambae alilala kitandani zaidi ya miaka 10, akikosa nafasi ya kucheza, kwenda shule, kuhudhuria birthdays na graduations za rafiki zake, msiba utakuwa Mlimani City pembeni ya jengo la Mwenge Tower na maziko yanatarajiwa kufanyika kesho katika makaburi ya Kisutu Dar es salaam saa saba mchana. #RIPMalcom🙏
Post a Comment