Advertisement

Responsive Advertisement

COCO KUIKOSA OLIMPIKI, AKUTWA NA MAAMBUKIZI

Cori "Coco" Gauff ataikosa Olimpiki ya Tokyo baada ya kutangaza kwenye Twitter Jumapili kupimwa na kukutwa na maambukizi ya COVID-19.

Kara Eaker, mshiriki wa timu ya mazoezi ya viungo ya Marekani huko Olimpiki ya Tokyo, pia amekutwa na maambukizi ya COVID-19 siku chache kabla ya kuanza kwa Michezo. 

Olimpiki ya Tokyo 2020 inatarajia kuanza Ijumaa, lakini wasiwasi unakuja juu ya hatari ya kuenea kwa COVID-19 na takriban kesi 55 zilizothibitishwa sasa zikihusishwa na Michezo hiyo.

Post a Comment

0 Comments