Advertisement

Responsive Advertisement

MENINA AFIWA NA MUME WAKE

Taarifa zinazosambaa, inasemekana Menina amefiwa na mume wake, kwa mujibu wa @zamaradimketema katika ukurasa wake wa instagram ameandika;- 

"Pole sana Mdogo wangu kwa kuondokewa na Mumeo, huo msiba ni mzito sana, MUNGU akupe nguvu mamaangu, najua sio rahisi lakini Mshukuru MUNGU kwa kila jambo, Yeye alieruhusu litokee ndio anaejua njia!! Muamini na umshike sana yeye. HATAKUACHA!! @meninalegria"

Post a Comment

0 Comments