TAKRIBANI VUTUO 51 VYA ELIMU VILIHARIBIKA

Wakati Israeli ikiishambulia Gaza hivi karibuni, mashambulio ya Israeli yaliharibu takribani vituo 51 vya elimu, pamoja na shule 46, shule za chekechea mbili, kituo cha mafunzo cha UNRWA (Shirika la Usaidizi na Kazi la Umoja wa Mataifa kwa Wakimbizi wa Palestina katika Mashariki ya Karibu), na sehemu za Chuo Kikuu cha Kiislam ya Gaza, kulingana na ripoti ya hivi karibuni ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa.

No comments