"Katika siku yangu hii maalum, ninataka tu kumshukuru Mungu Mwenyezi kwa zawadi ya maisha na furaha. Ninaomba kwamba Aendelee kunibariki Siku zote, Pia Mungu anataka tuwe Mfano wa Wema Wake sitaki kuficha furaha yangu aman yangu ushindi wangu Nampa Mungu Sifa zote Kwa kunibariki mtoto na kunipa mwanamke Mzuri na mwenye upendo Nashukuru Tena kwako Mwenyezi kwa hizi Baraka Zako."---@richmitindo
HAPPY BIRTHDAY BRO @richmitindo
0 Comments