Aliekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake leo wamefikishwa Mahakamani Mkoani Arusha na wamesomewa shtaka la unyang'anyi wa kutumia silaha wakimpiga wakamfunga pingu na kumpora diwani wa Sombetini (CCM) Bakari Msangi kiasi cha TSH. 339,000/=.
Kwa mujibu wa Mahakama imegundua kuwa Ole Sabaya na genge lake Walivamia eneo alilokuwepo na kuwaweka watu wote chini ya ulinzi.
0 Comments