Kuwa na Sabato njema mpendwa
Isaya 58:13
Kama ukigeuza mguu wako usihalifu sabato, usifanye anasa yako siku ya utakatifu wangu; ukiita sabato siku ya furaha, na siku takatifu ya BWANA yenye heshima; ukiitukuza, kwa kutokuzifanya njia zako mwenyewe, wala kuyatafuta yakupendezayo, wala kusema maneno yako mwenyewe;
Kutoka kanisa la SDA Chuo Kikuu Dar es salaam.tunawakaribisha katika Sabato ya wageni itakayofanyika tarehe 26 mwezi huu wa 6.
Njoo na marafiki zako/wageni wako wote,iwe 1 au 10 nawe utabarikiwa.
#SHANGWE KATIKA NJIA YAKE AMEN 🙏
0 Comments