Rais wa Zanzibar Mhe. Dr. Hussein Ali Mwinyi amewataarifu rasmi wananchi ya kwamba na mwaka huu pia hapatakuwa na fursa kwa Mahujaji kwenda kufanya ibada ya Hajj kama ilivyoelezwa hapo awali, hii ni kutokana na taarifa iliyotolewa na Serikali ya Saudi Arabia hivi karibuni inayosema kuwa hali ya ugonjwa wa COVID 19 bado hairidhishi, hivyo hawatoruhusu mahujaji kuingia nchini humo.
Rais Mwinyi amesema hayo akiwa katika Msikiti wa Masjid Jur, Unguja.
0 Comments