POLISI KUPATIWA VIWANJA ILI KUONDOA USUMBUFU
Wizara ya Mambo ya Ndani na Wizara ya Ardhi wanapanga kujadili namna nzuri ya kuweza kuwapatia Viwanja Askari Polisi Nchini.
Waziri George Simbachawene amesema wanapanga hivyo ili kuwaepusha na fedheha Polisi wanaostaafu bila Kiwanja wala Nyumba.
Amesema Polisi wanafanya kazi nzuri kwa Taifa na wengine kulingana na vyeo vyao ni ngumu kujikomboa na kupata Maisha mazuri baada ya kumaliza utumishi.

Akizungumza Bungeni Muda huu.
Post a Comment