Wagombea wa Urais wa TFF Ally Saleh Alberto na Oscar Oscar ni miongoni wa waliokatwa katika kuwania Urais wa TFF baada ya kushindwa kutimiza kipengele cha kupata wadhamini.
Katika orodha ya waliokatwa yumo pia Ally Mayai Nahodha wa zamani wa timu ya soka ya Taifa Stars na Yanga ambaye kama ilivyo kwa Oscar Oscar na Ally Saleh naye ameshindwa kukidhi kigezo hicho cha wadhamini.
0 Comments