ODOI HUENDA AKAICHEZEA TIMU YA TAIFA YA GHANA
"Kuichezea timu ya taifa ya Uingereza kulishakuwepo kichwani. Lakini mara zote huwa nasema Ghanabndiyo nyumbani kwangu, kwahiyo tusibiri tuone, Huwezi jua litakalotokea.
Kwa mujibu wa sheria mpya za FIFA, bado Hudson Odoi anaweza kubadilisha timu ya taifa licha ya kuichezea timu ya taifa ya Uingereza.
Sheria na kanuni mpya za FIFA zinatoa ruhusa kwa wachezaji wenye umri chini ya miaka 21 ambao hawajacheza kwenye hatua kubwa za michuano
kama ya Kombe la Dunia, Euro, Copa America n.k ata kama wameshazichezea timu za taifa kwa ngazi ya wakubwa kuruhusiwa kubadilisha timu ya taifa.
Endapo tu timu atakayoenda kuichezea iwe ana uhusiano nayo.
Post a Comment