MKATABA WA LIONEL MESSI WAFIKIA TAMATI
Mkataba wa Lionel Messi umefikia tamati usiku wa kuamkia leo katika klabu ya Fc Barcelona.
Hivyo kwa sasa ni Mchezaji huru ( sio tena wa BARCELONA).
Hii inakuwa mara ya kwanza tokea mwaka 2000
Lionel Messi kutokuwa a Mkataba na Klabu ya Fc
Barcelona ingawa tetesi zinaeleza kwamba tayari
nyota huyo amefikia makubaliano ya kuongeza
mkataba mpya hadi mwaka 2023.
Manchester City, Paris Saint German na Barça
Wenyewe ndio wameonyesha nia ya kuhitaji huduma ya Lionel Messi Hadi Wakati huu na inasubiriwa kumalizika kwa michuano ya Copa America ili kujua nini hatima ya nyota huyo
Post a Comment