MFALME MSWATI AKIMBIA NCHI, WANANCHI WACHOMA MADUKA
Wakazi wa eSwatini wana wasiwasi mkubwa juu ya upatikanaji wa chakula, pesa na petrol wakati ghasia dhidi ya mfalme zikiendelea.
Wahalifu wamechoma maduka ya chakula na hata kupiga mabomu katika benki zingine nchini humo.
Nchi hiyo bado haijajulikana inaongozwa na nani, baada ya Mfalme Mswati kukimbia nchi, sababu ya kukimbia nchi ikisemekana kuwa Wananchi wanashinikiza Mfalme Mswati kuunda Katiba mpya nchini humo.
Post a Comment