MALISA GJ AUKOSOA MWANDIKO WA JAFFAR HANIU
Mambo mawili ya kumshauri Jaffar Haniu Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais.
1. Kukosekana consistency ktk nyaraka zake, hasa muundo wa maandishi (Font type). Ukipitia barua zake zipo alizotumia Times New roman, Garamond, Tahoma etc. Hii si sawa.
Kurugenzi ya mawasiliano ni taasisi hivyo inapaswa kuwa na "house style" yake. Hata kama watu watabadilika lakini "house style" haipaswi kubadilika kwa sababu hiyo ni corporate identity. Ndio maana Mhariri wa gazeti akiondoka muundo wa gazeti haubadiliki. Na akija Mhariri mpya haji na muundo wake.
Lakini hapo Ikulu ni kama hakuna "house style" Kila mtu anafanya anavyojisikia. Msigwa alitumia Times New Roman, wewe umekuja na style zako nyingine na kila siku unabadilisha. Hii si sawa.
Kuwa na "consistency" kwenye press zako ili mtu ajue hii ni taarifa kutoka Ikulu. Athari za kubadili "Font" kila siku ni kufanya watu washindwe kutambua nyaraka halisi kutoka Ikulu ni ipi, na huo unaweza kuwa mwanya kwa wahuni kutengeneza nyaraka feki.
Please act professional. Ulikua Msaidizi wa Msigwa hapo Ikulu, kisha ukawa Mkurugenzi Chanel ten, sikutegemea makosa kama haya yajitokeze kwako. Jirejebishe, usimfanye Rais aone alikosea kukupa hiyo nafasi.
2. Punguza unazi kidogo. Wewe ni Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, sio Mkurugenzi wa mawasiliano ya Mwenyekiti wa CCM. Naona unashindwa kubalance mihemko ya kisiasa. Rais ni wa watu wote, kwahiyo unatakiwa ukitoa taarifa zake uwe fair bila kulinda interest za CCM.
Lakini umekuwa mnazi kuliko hata CCM wenyewe. Wiki jana amefariki Profesa Baregu umeshindwa hata kumtambua kama Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema? Yani umejitahidi sana kukwepa neno Chadema kwenye press yako ukidhani utawafurahisha CCM.
Lakini CCM haohao wamekuumbua. Kwenye press yao wamemtambua Baregu kama mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, na wametoa pole kwa chama na familia.
Badilika kaka. Rais tuliyenaye hayuko kama unavyofikiria. Kwenye mkutano wake Mwanza kulikua na bendera za Chadema wala hakujali, kwa sababu anajua yeye ni Rais wa watu wote.
Haya mambo ya kubaguana kwa vyama ungeyafanya enzi za mwendazake angekuona jembe. Lakini kwa sasa zama zimebadilika. Sio kila homa ni malaria.!-----> Malisa GJ

Post a Comment