Advertisement

Responsive Advertisement

#LIVE UBORESHWAJI MITAALA YA ELIMU NCHINI



Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kupitia Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) leo inafanya mkutano na wadau kwa ajili ya kupokea maoni yatakayopelekea uboreshwaji wa mitaala ya elimu kuanzia elimu ngazi ya awali, msingi na sekondari.

Mkutano huo unaofanyika mkoani Dar es Salaam unaongozwa na waziri mwenye dhamana ya elimu, Prof. Joyce Ndalichako.

Post a Comment

0 Comments