Krispy Kreme alitangaza mnamo Machi itatoa donuts za bure kwa Wamarekani ambao wamepewa chanjo dhidi ya Covid-19.
Miezi minne baadaye, kampuni hiyo ilisema imetoa zaidi ya donuts milioni 1.5.
Mbali na kutoa zawadi hiyo Kampuni zingine zimejitokeza kufuata nyayo, mfano; Budweiser ametoa bia ya bure.
Post a Comment