Kozi ya CAF A Diploma inayotarajiwa kufanyika kuanzia Julai 19, 2021, itafundishwa na Wakufunzi wa FIFA.
Kozi hiyo itakayofanyika Makao Makuu ya TFF Karume, Ilala, Dar es Salaam, itafundishwa na
1. Kim Poulsen (FIFA instructor)
2. Dominique Niyonzima ( FIFA and CAF Instructor Burundi)
3.Klaus Günter Rudolf Erwin Stärk (FIFA Instructor - Germany)
Sifa za muombaji wa kozi
1. Aliye na CAF B diploma
2. Anaefundisha mpira kwa sasa (Active Coach)
Ada ya ushiriki ni shilingi 1,500,000/.
Nafasi zipo 25. Mwisho wa kupokea maombi ni Julai 11, 2021.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na ofisi ya Mkurugenzi wa Ufundi TFF.
0 Comments