Kikao cha Kwanza cha Kamati ya Wataalamu ya Mradi wa Kuimarisha Uwezo wa Kitaifa wa Utekelezaji wa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira kilichofanyika jana Juni 15, 2021 jijini Dodoma.
Kikao hicho kimeongozwa na Dkt. Damas Mapunda kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais na kuhudhuriwa na wajumbe kutoka Ofisi hiyo, Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) na Taasisi zingine.
0 Comments