Advertisement

Responsive Advertisement

HARMONIZE KUGHARAMIKIA MEDIA ZOTE KESHO

Msanii @harmonize_tz kuelekea kwenye Press Confrence yake kesho majira ya 10:00 Asubuhi katika Hotel ya  WHITE SEND.

"Kwa kutambua umuhimu wa Media zote Tanzania basi kesho gharama za usafiri wa kuja na kurudia zitarudishwa kwa kila Media itakayokuja, hatuchagui, hatubagui bila nyinyi hakuna, watakakwarudishia ni viongozi wa KONDE GANG @kondegang" ---@harmonize_tz 

Post a Comment

0 Comments