DIAMOND AMTEMBELEA LILOMMY

Mtangazaji wa @wasafitv Wasafi MEDIA, @lilommy amshukuru Diamond Platnumz mara baada ya kutembelewa katika Ofisi yake mpya ya AV MEDIA Co LTD @avmediatz 

@lilommy;
Mapema leo Mkurugenzi wa Wasafi Media Limited @diamondplatnumz na Uongozi Mzima @jamal_april @iamnellyg5 @donfumbwe waliweza kutembelea katika ofisi yangu mpya ya AV MEDIA Co Ltd @avmediatz ‘a Digital Hub & Audiovisual Production’ na kujionea kazi inabofanyika pamoja na kutia Baraka zao pia kujazia mawazo ya kuboresha zaidi. Thanks Simba 🦁 and the whole Wasafi Media Limited for coming through 👊

Hii ni Digital Hub ambayo inazalisha content za kwenye mitandao na kuendelea kufanya kazi zangu ambazo nafanya na makampuni tofauti tofauti kama Balozi wao, pia kuendelea kupromote Muziki na Sanaa.
#

No comments