Advertisement

Responsive Advertisement

UMMY MWALIMU AFANYA ZIARA OFISI YA DART

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu Leo tarehe 23/05/2021 amefanya ziara kwenye Ofisi ya Wakala wa Mabasi yaendayo kwa haraka (DART) kwa lengo la kufuatilia maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samiha Suluhu Hassani na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ya kuhakikisha ziinatatuliwa changamoto na kuboresha huduma za mabasi yaendayo kwa haraka

Post a Comment

0 Comments