SIMBA NAMBA 1 AFRIKA KWA USHAWISHI MITANDAONI

Klabu ya Simba SC imetangazwa kuwa Klabu yenye ushawishi zaidi Afrika, katika mtandao wa Instagram, kuwa na zaidi ya 7.32 M.

Takwimu hiyo imetolewa na DEPOR&FINANZAS inayojihusisha na maswala ya uchambuzi wa mitandao ya kijamii.

Hizi apa TOP 3;
1. Simba SC - 7.32 MILIONI
2. AL Ahly - 7.13 MILIONI
3. Raja Club Athletic - 6.73 MILIONI.

No comments