PROF. SHEMDOE NA CEO WA (KOICA) WAKITIA SAINI
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Prof. Riziki Shemdoe (kulia) na Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Korea (KOICA) nchini Tanzania Kyucheol Eo (kushoto) wakiweka saini hati ya makubaliano kuhusu utekelezaji wa mpango wa kutoa motisha kwa Halmashauri zenye mbinu bora za kuzuia mdondoko wa wanafunzi Wa shule za msingi na sekondari nchini.
Hafla ilifanyika tarehe 05 Mei,2021, katika ofisi za TAMISEMI zilizopo Mji wa Magufuli, (Mtumba) jijini Dodoma. Picha zote na Majid Abdulkarim
Hafla ilifanyika tarehe 05 Mei,2021, katika ofisi za TAMISEMI zilizopo Mji wa Magufuli, (Mtumba) jijini Dodoma. Picha zote na Majid Abdulkarim
Post a Comment