RAIS SAMIA KWA TEDDY

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa Heshima za mwisho kwenye Jeneza lenye mwili wa Marehemu Teddy Mapunda katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo tarehe 09 Mei, 2021.

No comments