RAIS SAMIA ALIVYOFURAHIA JAMBO NA JAMES

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika James Duddridge Ikulu Jijini Dar es Salaam.

No comments