Advertisement

Responsive Advertisement

MPAKA SASA TUMESAINI MIKATABA MITANO-RAIS SAMIA

 “Tangu tuanze makubaliano ya huu mradi wa Bomba la Mafuta tayari tumeshasaini mikataba mitano, nawashukuru sana na kuwapongeza wote walioshiriki kufanikiwa kwa makubaliano ya mikataba ua Bomba hili, ila shukrani za pekee ziende kwa Mtangulizi wangu Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.

Mradi huu wa Bomba la Mafuta utachochea mradi wa utafutaji wa mafuta pamoja kwenye eneo letu la Afrika Mashariki, baada ya Uganda kugundua mafuta hata sisi Tanzania kuna maeneo ambayo tayari kuna mafuta."
Rais SSH

Post a Comment

0 Comments