Advertisement

Responsive Advertisement

NAMSHUKURU RAIS YOWERI MUSEVENI-RAIS SAMIA

Nimshukuru Mhe. Rais Yoweri Museveni kwa kufika, licha ya changamoto kubwa inayoikabili Dunia kwa ugonjwa wa Corona, lakini leo umenithibitishia kuwa nyumbani ni nyumbani.

Niwahakikishie ndugu zetu Waganda na wawekezaji kuwa Watanzania tumedhamiria kutekeleza mradi huu, na tuna uzoefu wa utekelezaji wa miradi ya aina hii, uamuzi wenu wa kuchagua Tanzania kupitisha bomba hili ulikuwa uamuzi sahihi na busara.

Mradi huu utasaidia kuwavuta wawekezaji wa Kimataifa kuja kuwekeza, mradi huu utakaogharimu Dola za Kimarekani Bilioni 3.5, itasaidia kuondoa taswira mbaya kuhusu Bara letu la Afrika ambayo ilijengwa kwa muda mrefu." Rais SSH

Post a Comment

0 Comments