Advertisement

Responsive Advertisement

NOTO YATUMIA YEN MILIONI 25 KUJENGA SANAMU

Mji wa pwani wa Japani wa Noto unakabiliwa na ukosoaji baada ya kutumia yen milioni 25 katika pesa za dharura kujenga sanamu ya squid yenye urefu wa mita 13. 

Maafisa wa eneo hilo waliripotiwa walidai sanamu hiyo ilikuwa sehemu ya harakati ya utalii kusaidia uchumi wa eneo hilo ambao ulikumbwa sana na janga hilo.


Post a Comment

0 Comments