JAVAD ZARIF AMSIHI JOE BIDEN AAMUE

Waziri wa Mambo ya nje wa Irani Javad Zarif alimsihi rais wa Marekani aamue ikiwa Marekanj inaendelea na uasi au kuzingatia sheria wakati mazungumzo ya kufufua makubaliano ya nyuklia ya 2015 yanaendelea. 

Miaka mitatu iliyopita, Marekani ilitangaza kujiondoa kutoka kwa Mpango wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA), unaojulikana pia kama "mpango wa nyuklia wa Iran"


No comments