HUSSEIN ALI MWINYI: NAUTAKA UONGOZI WA AFISI YA RAIS, KAZI, UCHUMI NA UWEKEZAJI ZIFANYE USHIRIKIANO

 "Nautaka Uongozi wa Afisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji kwa kushirikiana na Shirikisho la vyama vya wafanyakazi Zanzibar waendelee kusimamia haki za wafanyakazi kwani natambua bado wapo waajiri wanaopuuza wajibu wao wa kutimiza haki za wafanyakazi wao". Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani - Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-Wakil, Kikwajuni.

No comments