GEITA GOLD MABINGWA FDL

Timu ya Geita Gold imeibuka Mabingwa katika Fainal ya Ligi Daraja La Kwanza FDL, dhidi ya Mbeya Kwanza leo uwanja wa Uhuru Stadium wakiondoka na ushindi wa bao 1 kwa sifuri, goli lililofungwa na Omary Ramadhani dakika ya 115'.

Mbeya Kwanza 0 - 1 Geita Gold.
115' Omary Ramadhani.

No comments