FAUSTINE NDUGULILE NA DKT. ZAINAB CHAULA
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile (wa kwanza kulia) na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Zainab Chaula (wa kwanza kushoto) wakisikiliza kwa makini maoni ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu baada ya kuwasilisha taarifa ya mawasiliano na intaneti kwa Kamati hiyo Bungeni, Dodoma.
Post a Comment