FAMILIA YA WATU WATANO WAFARIKI DUNIA

Familia ya watu watano iliuawa katika ajali ya barabarani ambayo iliwaacha wasafiri zaidi ya 14 wakiwa wamekufa.⁣
Erick Omondi mkewe Ester na watoto wao watatu, Biden wa miezi 7, Judith, 5 na Mary, 10 walifariki majira ha asubuhi wakati jamaa wengine wawili na marafiki wao wawili walipata majeraha mabaya katika eneo la Samburu kando ya Barabara kuu ya Mombasa-Nairobi.
.

No comments