BALOZI MILANZI NA MAAFISA WA UBALOZI
Balozi wa Tanzania Nchini Afrika Kusini Balozi Gaudance Milanzi na Maafisa wa Ubalozi katika picha ya pamoja na Dr Delvina Japhet Tarimo wakimpongeza kwa mafanikio yake ya kielimu.
Dr Delvina ameweka rekodi ya kuwa mtanzania wa kwanza mdogo kupata PhD ya (Physics) katika Chuo Kikuu cha Pretoria kwa muda wa mwaka mmoja na miezi sita.
Dr Delvina ameweka rekodi ya kuwa mtanzania wa kwanza mdogo kupata PhD ya (Physics) katika Chuo Kikuu cha Pretoria kwa muda wa mwaka mmoja na miezi sita.
Post a Comment