WAKRISTO NA VAZI LA KANZU
MWISHO WA YOTE, NI BWANA WA MABWANA YESU KRISTO....
KANZU YAKE ILIKUWA FUNGA KAZI.
Yohana 19:23
Nao askari walipomsulibisha Yesu, waliyatwaa mavazi yake, wakafanya mafungu manne, kwa kila askari fungu lake; na kanzu nayo. Basi kanzu ile haikushonwa, ilikuwa imefumwa yote pia tangu juu.
Je! Kupanda umevaa kanzu madhabahuni ni HALALI?
KANZU NI VAZI LILOTUMIKA WAKATI WA HUDUMA TAKATIFU, KUHANI MKUU ALIVAA NA KUINGIA NALO PATAKATIFU.
Kutoka 28:39
Na hiyo kanzu utaifuma ya kitani nzuri ya kazi ya urembo, ufanye na kilemba cha nguo ya kitani nzuri, nawe utafanya mshipi wa kazi ya mwenye kutia taraza.
MAKUHANI WASAIDIZI WALIPIGILIA KANZU
Mambo ya Walawi 8:13
Kisha Musa akawaleta wana wa Haruni, na kuwavika kanzu, na kuwafunga mishipi, na kuwavika vilemba; kama BWANA alivyomwagiza Musa.
Kumbuka na Kilemba kilihusika Shekhe, si mchezo kabisa.
Kanzu ni vazi halali kabisa kwako wewe Mwadventista.... Anza kujipigilia tangu sasa.
HUKUTI SUTI... labda six button, n.k kwenye maandiko ni kanzu kilemba nk.
Ubarikiwe Alhabiby...

Share ujumbe huu kwa marafiki na wakristo wote
Post a Comment