"Ofisi ya Spika haina taarifa yoyote ya Wabunge 19 wa Viti Maalumu kufukuzwa na CHADEMA , hivyo bado tunawatambua Kama wanachama wa CHADEMA kwani sharti la kuwa Mbunge wa Viti Maalumu lazima upendekezwe na Chama" Dkt.Tulia, Naibu Spika wa Bunge akizungumza Bungeni leo
0 Comments