Advertisement

Responsive Advertisement

MUHAMMED BADRU: TUNAKUTANA NA SIMBA KWA HAPA KWETU NI TIMU BORA SANA KWA SABABU YA UIMARA WAO

"Tunakutana na Simba kwa hapa kwetu ni timu bora sana kwa sababu ya uimara wao kila idara. Tumepoteza michezo miwili, KMC FC na Yanga zote ugenini, ila kwa Simba nina imani tutapambana kutafuta matokeo chanya kwa sababu nimewaona jinsi wanavyocheza na uimara wao"

“Tunatambua kiufundi Simba iko vizuri kila sekta, ukiangalia safu yao ya ushambuliaji imekuwa na wastani mzuri na kuridhisha, lakini kwa upande wangu nimejiandaa vizuri kwa kuwapa mikakati mabeki pamoja na wachezaji wengine kuwa makini,” 

Mohammed Badru
-Kocha Mkuu wa Gwambina FC

Post a Comment

0 Comments