Naibu Spika wa Bunge Dk.Tulia Ackson amemtaka Mbunge wa viti maalum Jesca Kishoa kufuta kauli yake aliyoitoa bungeni leo wakati akitoa hoja kuwa ameondolewa kwenye chama chake, kwani ofisi ya bunge haina taarifa hiyo na hakuna mbunge aliyeko bungeni ambaye hana chama.
0 Comments