Mshambuliaji Mkenya Michael Olunga ndiye kinara wa mabao wa michuano ya Ligi ya Mabingwa Asia (ACL) msimu huu mpaka sasa, akicheza mechi tatu na kufunga jumla ya magoli manne, hat-trick moja
Olunga,27,anayeichezea Al Duhail ya Qatar,Jumatano hii alifunga hat-trick katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Asia kwenye ushindi wa 4-3 dhidi ya Esteghlal
Olunga tangu awasili Al Duhail January 2021 akitokea Kashiwa Reysol ya Japan kafunga jumla ya magoli 14."
0 Comments