Shirikisho la Soka la Sierra Leone (SLFA) litaamua ikiwa litakata rufaa kunako mahakama kuu ya Usuluhishi masula ya Michezo (CAS) juu ya mchezo uliofutwa wa kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika 2021 dhidi ya Benin.
Ilumbukwe kiwa, Jumanne Shirikisho la Soka la Afrika (Caf) lilikataa madai ya SLFA kwamba wapewe ushindi wa mchezo huo badala ya kupangiwa tarehe nyingine ya Juni.
Mechi ya Kundi L ilitakiwa ifanyike Freetown mwezi uliopita lakini ilisitishwa wakati Benin ilikataa kucheza kutokana na vipimo kurudi kuwa, wachezaji wao wa 5 kukutwa na Covid-19 ambapo wangeondolewa kwenye mechi hiyo muhimu.
0 Comments