Advertisement

Responsive Advertisement

RUTH COKER BURKS NDIE ALIEJITOLEA KUWAUGUZA WENYE UKIMWI

Wakati wa mlipuko wa virusi vya UKIMWI
miaka ya 1980, Familia ziliwatenga waathirika
wa ugonjwa huo, Ruth Coker Burks kutoka
Arkansas USA ndiye aliyejitolea kuwaaguza na
kuwa fariji waliokuwa wakitengwa na
kufukuzwa, Aliwazika watu zaidi ya 40
mwenyewe wengi wakiwa ni wanaume
waliokua mashoga.

Post a Comment

0 Comments