Advertisement

Responsive Advertisement

DEAL DONE

Mlinzi na nahodha msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein 'Tshabalala' akisaini mkataba mpya wa Simba mchana huu. 

Nyota huyo amesaini mkataba wa miaka mitatu, huku dau lake likiwa siri baina ya timu na mchezaji.

Post a Comment

0 Comments