Advertisement

Responsive Advertisement

KMC WAINUA MIKONO VPL

Klabu ya KMC imesema haina matumaini ya kubeba kombe la Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) na badala yake nguvu zao wanazielekeza kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports.

Timu hiyo yenye maskani yake Manispaa ya Kinondoni, itashuka dimbani Jumamosi ya Mei 1, 2021, kumenyana na Dodoma Jiji.

Mtanange huo wa hatua ya 16 bora, utapigwa saa 10:00 jioni na utakuwa LIVE 

#KombeLaShirikisho #ASFC

Post a Comment

0 Comments